Matokeo ya TWAWEZA yazua gumzo nchini
MATOKEA YA TWAWEZA KUHUSU UCHAGUZI MKUU YAPINGWA NA WASOMI.
Wanaharakati,wasomi na wanasiasa, akiwemo mgombea Uraisi wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ambaye ameuponda na kueleza kuwa matokeo halisi yatapatikana Oktoba 25.
Utafiti huo unaonyesha kama kura zingepigwa kati ya Agosti na Septemba, mgombea wa CCM, Dk John Magufuli angeibuka na ushindi wa asilimia 65, wakati Lowassa angepata asilimia 25.
''Watanzania tusipumbazwe na tafiti ambazo hatujashiriki.
Tushiriki kwa mafuriko Oktoba 25,majibu ya ukweli tutayapata.'' alisema Lowassa kwenye akaunti yake ya Twitter.

Post a Comment