Image result for tigo banner

Picha:Birth day Part ya Diamond yafana jijini Dar

1
Diamond akikata keki na baadhi ya ndugu na marafiki zake waliojitokeza mahali hapo.
2
Wadau wakimmwagia maji na vinywaji mbalimbali kama ishara ya kumpongeza siku yake ya kuzaliwa.
3
Shilole akionyesha furaha yake na Tudi Thomas.
4
Queen Doreen (kushoto), akiwa kwenye pozi na Halima Kimwana.
5
Diamond akigonga msosi na meneja wake Babu Tale.
6
Mkubwa Said Fella akiwa kwenye pozi na baadhi ya marafiki wa Diamond.
7
Baadhi ya wadau wakijichukulia msosi.
8
Babu Tale akimsulubu Diamond kwa kummwagia soda.
9
Diamond akiwa katika pozi na marafiki zake.
10
Baadhi ya marafiki wa Diamond wakiwa kwenye pozi.
USIKU wa kuamkia leo staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, alifanikisha sherehe ya kuzaliwa kwake ambayo ilifana vilivyo nyumbani kwake Tegeta Madale jijini Dar es Salaam, ambapo ilihudhuriwa na mastaa mbalimbali.
Katika sherehe hiyo Diamond alipata fursa ya kukata keki na kunywa na baadhi ya ndugu jamaa na marafiki zake waliohudhuria mahali hapo, huku kivutio kikubwa kikibaki kuwa wingi wa vinywaji vilivyokuwepo

No comments

Powered by Blogger.