Ajali iliyohusisha magari matatu yasababisha vifo Morogoro
Habari
iliyoripotiwa hivi punde na kituo cha ITV ni kuhusu ajali ambayo
imetokea eneo la VETA DAKAWA mkoani Morogoro ikihusisha magari matatu
ambayo ni lori la mafuta, kontena lililobeba mchele pamoja na basi.
Taarifa hiyo inasema kuwa watu 11 wamefariki dunia na wengine ambao idadi yao bado haijajulikana wamejeruhiwa,
Watu 11 wamefariki na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu eneo la VETA DAKAWA mkoani Morogoro #via #ITV— millard ayo (@millardayo) July 1, 2016
Post a Comment