Picha: Ajali ya basi la roli la mafuta mkoani Morogoro
Picha za ajali iliyohusisha basi OTTA CLASSIC yenye namba DGK T.201 na lori la mafuta mkoani morogoro.
ajali
imetokea eneo la VETA DAKAWA mkoani Morogoro ikihusisha magari matatu
ambayo ni lori la mafuta, kontena lililobeba mchele pamoja na basi.
Taarifa hiyo inasema kuwa watu 11 wamefariki dunia na wengine ambao idadi yao bado haijajulikana wamejeruhiwa,
Post a Comment