sababu inayomfanya vanessa kutotaka kuongelea mahusiano yake
Hivi karibuni alipokuwa Kenya, Vanessa Mdee alihojiwa kwenye kipindi cha
The Trend cha NTV na moja ya maswali aliyoiulizwa ni iwapo ana
boyfriend
“Always nikiwa kwenye interview napenda kuavoid maswali ambayo yanahusiana na Juma (Jux),” anasema.
“For every simple reason, interview inakuwa ya Juma tena, tuna changamoto nyingi tayari wanawake kwenye game so I don’t want to be known as Juma’s girlfriend always. Kuna vitu ambavyo nataka kuongelea, at that time tulikuwa tunahitaji kuongelea show ya 2 Face, ambayo nilikuwa mwanamke pekee anayeperform, na ilikuwa show yangu ya kwanza Kenya, kuongelea Niroge, at that time tulikuwa tunahitaji kuongelea vitu vingi zaidi ya Juma na Vanessa,” ameongeza.
“Lakini pia Juma knows, I do this a lot, people don’t pay attention, If I don’t say ‘I am dating my music, I can say I am focused on music.”

Post a Comment