Majonzi yalivyo wakuta mashabiki wa Manchester United

BAFETIMBI GOMIS jioni ya jana aliwaliza sana mashabiki wa UNITED baada kuifungia timu yake ya swa bao la pili. Alipokea pasi maridadi kkabsa kutoka kwa Mghana ANDRE AYEW ambe pia alifunga goli la kusawazisha. Manchester United walipata bao lao la kwanza kuptia kwa mchezaji wao wa pembeni muhispania Juan Matta dakika ya 48 kipindi cha pili. Mashabiki wa United hawakufahishwa kabsa na kiwango cha WYNE ROONEY na MEPHIS Depay.

Post a Comment