Huddah mrembo kutoka nchini kenya mwenye headline za kutosha, amerudi tena na hii! Mrembo huyo ametumia weekend hii jijini Dar es Salaam anakopaita ‘second home’ kwa kula bata la haja.
.“Life is GOOD! ……. Never let ur ego get in the way. Individuals can say whatever they want to say about u. As long as ur happiness & money is right ..F*ck Them……. #StillWinning,” ameandika mrembo Huddah
Post a Comment