Image result for tigo banner

Danny Welbeck kukaa nje kwa muda mrefu

Mshambuliaji wa England na klabu ya Arsenal, Danny Welbeck hataonekana uwanjani kwa miezi kadhaa na anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa goti.
Arsenal's Danny Welbeck celebrates scoring his side's fourth goal to complete his hat-trick during the UEFA Champions League match at The Emirates Stadium, London. PRESS ASSOCIATION Photo. Picture date: Wednesday October 1, 2014, See PA story SOCCER Arsenal. Photo credit should read: Andrew Matthews/PA Wire. .
Ripoti iliyotoka kwenye mtandao wa klabu ya Arsenal inasema mshambuliaji huyo ambaye zamani alikuwa Manchester United amekuwa akitegemea kukwepa majeruhi na alishindwa kupona katika matibabu yaliyopita.
Kuwa majeruhi kwa Welbeck kutamuongezea presha kocha Arsene Wenger kufuatia kushindwa kumnasa Karim Benzema au Edinson Cavano kabla dirisha la usajili halijafungwa Jumanne

No comments

Powered by Blogger.