Keki iliyovunja rekodi duniani kwa kuuzwa bei kubwa zaidi
Keki hutumika kama ishara ya kuonyesha upendo baina ya watu na
zimekuwa zikitumika zaidi kwenye sherehe mbalimbali ndani ya jamii
zinazotuzunguka.
Kuna aina nyingi ya utengenezaji wa keki kutoka kwa wataalamu kulingana na mahitaji ya muhusika.
Debbie Wingham raia wa Uingereza ametengeneza keki iliyovunja rekodi ya dunia baada ya kuuzwa kwa bei ya Euro milioni 48.5.
Keki hiyo ambayo imenakshia na vitu mbalimbali vyenye thamani ina
urefu wa futi sita ikiwemo mawe 4000 ya dhahabu pamoja na mahitaji
mengine muhimu
Post a Comment