Magari yalioibwa UK yapatikana Uganda
Wapelelezi waliokuwa wakilitafuta gari moja aina la Lexus lililoibwa mjini London nchini Uingereza wamelipata nchini Uganda.
Gari hilo lilikuwa na kifaa kinachoonyesha liliko.
Walipolipata
nchini Uganda ,lilikuwa miongoni mwa magari 28 ya kifahari kutoka
Uingereza yenye thamani ya zaidi ya pauni milioni moja,kulingana na
gazeti la Metro nchini Uingereza.
Inadaiwa kuwa wezi hao walibadilisha mfumo wa kutumia funguo ya kuyawasha magari hayo.
Post a Comment