Image result for tigo banner

Picha: Fid Q apata mtoto wa kike, Fidelie

Fareed Kubanda aka Fid Q na mchumba wake wamejaaliwa mtoto wa kike.
11326201_416985948492190_1237230797_n
Mtoto huyo amepewa jina Fidelie.
Mtoto huyo amezaliwa asubuhi ya leo.
Kupitia Instagram pia Fid ameandika: Alhamdulillah… She’s here, The new & improved FIDELIE #godisalwaysgood #godisgood #godislove #godisgreat pray.”
Fid amesema mama na mtoto wote wanaendelea vizuri.
Huyu ni mtoto wa pili wa Fid Q. Mtoto wake wa kwanza na wa kiume anaitwa Feisal

No comments

Powered by Blogger.