Image result for tigo banner

Picha: John Legend na mkewe Chrissy Teigen waingia Zanzibar kisirisiri

John Legend na mke wake Chrissy Teigen walikuwa Zanzibar July mwaka huu lakini hawakutaka dunia ijue.
10848342_290100557827072_848541294_n
Sio kitu cha ajabu kwakuwa waliamua kufanya mapumziko yao kuwa ‘private’ zaidi lakini kupitia picha walizopost watu waliweza kugundua.
two
John alipost picha mbili akiwa visiwani humo ambapo moja mke wake Chrissy anaonekana akimbusu shavuni na nyuma ikionekana minazi ya Zanzibar.
Katika picha hiyo John aliandika tu, “Vacation has begun.”
Katika picha nyingine ambayo inaonesha wazi mandhari ya Zenji, muimbaji huyo aliandika: Vacation vibes.”
three
Picha zinaonesha kuwa wawili walikaa Zanzibar kwa siku mbili au tatu tu.
one
Wawili hao walienda Zanzibar wakati huo tamasha la ZIFF lilikuwa limefunguliwa. Hii ni mara ya pili muimbaji huyo kwenda Zanzibar. Mwaka 2009 alishoot video ya wimbo wake Show Me huko

No comments

Powered by Blogger.