Polisi Wakimbilia Kumuokoa Mtoo aliyekua Kafungiwa kwenye Gari na Kupigwa na Butwaa
Team ya polisi huko Oakland, California walipigiwa simu na wananchi
baada ya mtoto mchanga kuonekana akiwa kaachwa kwenye gari na madirisha
yakiwa yamefungwa. Ili kumuokoa mtoto huyo walifunja dirisha la gari
hiyo kwa haraka na huku wakiwa tayari na madaktari wakisubiri kuokoa
maisha ya mtoto huyo mchanga.
Baada ya kuingia kwenye gari, hawakuamini macho yao.
Huwezi kuamini hakua mtoto bali alikua mdoli, mdoli aliyefanana na mtoto
kabisa. Mapolisi hao walimuelewa raia aliyewapigia kwasababu hata wao
walipomuona walishangaa sana.
Post a Comment