Tazama trailer ya movie ya Cristiano Ronaldo inayotoka mwezi 11
Mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo anatarajia kutoa movie yake November 9 mwaka huu aliyofanya na kampuni ya Universal Studios. Movie hii imeandaliwa kwa miezi 14 na itakuwa na video mbalimbali ambazo hazijawahi kuonekana. Kwenye movie hiyo wamehusishwa mama yake Ronaldo, mwanae na marafiki zake.
Post a Comment