Image result for tigo banner

Wayne Rooney kuvunja rekodi mpya Manchester United?

Mchezaji wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Manchester United Wayne Rooney alifunga goli la 49 kwa mkwaju wa penart katika ushindi wa 6-0 dhidi ya San Marino na kuifanya nchi hiyo kufudhu Euro 2016.
Roney
Mshambuliaji huyo kwa sasa yuko sawa katika ufungaji na mfungaji wa muda wote wa Uingereza Sir Bobby Charlton.
Rooney amesema kwa sasa lengo lake nikuipita rekodi hiyo ya gwiji huyo wa zamani wa Manchester United

No comments

Powered by Blogger.