Arsenal yaichaganga Bayern 2-0
Arsenal kwa mara ya kwanza amepata ushindi wake dhidi ya Bayern Munchen ya Ujerumani kwenye ligi kuu Ulaya msimu wa 2015/2016.
Magoli ya Arsenal yalifungwa na Giroud na Ozil usiku wa jana kwenye kiwanja cha Emerates pale Londoni.
Arsenal amefanikiwa kuukata mzizi wa Bayern ulikuwa umewekwa msimu huu wa kutofungwa. Bayern Munchen alikuwa amecheza mechi 12 bila kupoteza mchezo wowote.



Post a Comment