Chege amtaja msanii wa Nigeria aliyemshirikisha
Hatimaye Chege Chigunda ameweka wazi ujio wa kolabo yake ya kimataifa aliyofanya na msanii wa Nigeria.
Chege amemtaja msanii huyo kuwa ni Runtown ambaye wiki ijayo atatumbuiza pia kwenye fainali za BSS.
“Ladies and gentleman brand new and exclusive collaboration Tanzania, Nigeria na South Africa, soon to your ears and eyes audio and video ,Jam called #SweetySweety..Loading,” ameandika kwenye Instagram.
“Job done in South Africa with producer Djmaphorisa and track featuring two Artist From two different countries I mean Chege ft Runtown (Nigeria) and Xelimpilo of UHURU (South Africa).
Post a Comment