Picha Mpya: Utampenda North West alivyo hivi sasa, Ni zaidi ya star
Kanye West na Kim Kardashian wana mtoto mrembo sana – North West.
Mtoto huyo aliyezaliwa kwenye familia ya mastaa, ameonekana akielekea kwenye shule ya dance Jumatano hii jijini Los Angeles na mapaparazzi walipata fursa ya kupata picha za mtoto huyo mrembo.
Hizi ni baadhi ya picha zake.
Post a Comment