Picha: Video vixen wa video ya Sauti Sol ‘Shake Yo Bam Bam’ ashinda Miss World Kenya 2015
Kama ilivyokuwa kwa mrembo wa Tanzania, Carolyne Benard aliyekuwa video vixen kwenye video ya Damian Soul ‘Ni Penzi’ na baadaye kuja kushinda taji la Miss Universe TZ 2014,
video vixen wa video ya Sauti Sol ‘Shake Yo Bambam, Charity Mwangi naye ameshinda taji la Miss World Kenya 2015.
Charity katikati (kwenye video ya Sauti Sol)
Mrembo huyo anayeonekana mwanzoni mwa video hiyo akiwa na warembo wengine, ameshinda taji hilo Ijumaa iliyopita jijini Nairobi.
Sauti Sol walimpongeza kwa kuandika;
“When she first came on set for the #ShakeYoBamBam video shoot, nobody knew who she was until the day we released the video. This was due to her stunning performance. Now the little Ms Charity Mwangi @ms_cherrry from the land of milk and honey, #Kiambu takes home the CROWN . You’re looking at MISS WORLD KENYA 2015. Congratulations !!! Keep winning !!!”
Tazma picha nyingine za mrembo huyo
Post a Comment