Image result for tigo banner

sasa ni zamu ya Agnes Masogange na davido

Agnes na Davido
Mrembo Agnes Masogange ameendeleza episode nyingine ya drama yake na mwimbaji wa Nigeria, Tekno miles, iliyoibuka wiki hii baada ya mwimbaji huyo kukanusha kuwa hajawahi kuvunja naye amri ya sita!
maso
Katika muendelezo wa kutaka kuthibitisha kuwa alichokisema Tekno sio kweli, Agnes ameweka wazi sababu anayodai kuwa ndiyo iliyomfanya mwimbaji huyo wa ‘Duro’ amkane, kuwa ni wivu baada ya kuona amekuwa karibu na super star mwingine wa Naija, Davido.
Agnes na Davido
Agnes alipost picha aliyowahi kupost miezi kadhaa iliyopita akiwa anakula bata na Davido na kuandika caption,“Kumbe brother alipanick kitambo kisa OBO Baddest”, post ambayo baadae aliifuta.

No comments

Powered by Blogger.