Image result for tigo banner

Patrick Vieira ateuliwa kuwa kocha mpya wa New York City

Mchezaji na kiungo wa zamani ufaransa na timu za Arsenal na Manchester City, Patrick Vieira ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya New York City.
patrick-vieira_3238775b
Vieira mwenye miaka 39 amesaini mkataba wa miaka mitatu kuifundisha timu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya soka nchini Marekani.
Vieira alikuwa kocha wa kikosi cha vijana wa chini ya umri wa 21 cha Manchester City. Vieira ni miongoni mwa nyota wa timu ya taifa ya Ufaransa waliotwaa kombe la dunia mwaka 1998.
Vieira ataanza kazi hiyo rasmi Januari 1, 2016 akiwa na kibarua cha kuingoza timu hiyo kufanya vizuri katika ligi ya

No comments

Powered by Blogger.