Glo-CAF Awards 2015: Mbwana Samatta ang’ara ‘Mwanasoka Bora Afrika’
Tanzania imetolewa kimasomaso kimataifa kwa mara nyingine, lakini safari hii ni upande wa soka ambapo mchezaji Mbwana Samatta ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Afrika wa ndani kwenye tuzo za 2015 GLO-CAF.
Tuzo hizo zimetolewa usiku wa January 7, 2016 kwenye ukumbi wa International Conference Centre, Abuja, Nigeria.
Post a Comment