Jionee na hii teknolojia ya choo kinachomaliza majukumu yako yote baada ya kukitumia..Video
Vipo vyoo vingi vya kisasa ambayo
watu wengi wamekuwa wakimudu kuvitumia lakini hiki kingine kimeongezwa
teknolojia zaidi kwani kina uwezo wa kufanya vitu zaidi ya tulivyozoea
kutumia.
Choo hiki cha kisasa kinachoitwa Neorest
ni moja ya vitu vinavyoonyeshwa katika maonyesho ya kimataifa ya
teknolojia mpya za bidhaa za elektroniki yanayoendelea huko Las Vegas.
Choo hiki chenye gharama ya dola 9,800 sawa na zaidi ya milioni 20 si kwamba kitakuondolea kabisa majukumu yote ya usafi chooni, kwani hakiwezi kujiosha upande wa nje iwapo kutakuwa na uchafu.
Post a Comment