Image result for tigo banner

Nahreel kuhusu maisha, anavyotoza studio kwake, Mkenya aliemkatalia, kazi za usiku studio na mengine

.
Nahreel ni producer kutoka kwenye kiwanda cha bongofleva ambaye mikono yake imehusika kwenye hits kama Don’t bother ya Joh Makini na A.K.A , Zigo ya Ay na nyingine, alikutana na Millard Ayo kwenye Interview na kuifanya hii Exclusive, jinsi alivyoanza muziki na kufanya kazi za bure, wasiopenda kulipia studio, maisha na mengine mtazame kwenye hii video hapa chini.


No comments

Powered by Blogger.