New Video: Linah.. ‘Nia Yangu’
Kama umebahatika kuwa karibu na radio, TV stations pamoja na mitandao basi utakuwa umeona kasi ya nguvu kwa mastaa wa Bongo TZ wakikimbizana kuangusha midundo mipya kila wakati.
Linah Sanga mrembo mwingine Bongoflevani ambaye kaachia wimbo wake wa ‘Nia Yangu‘ muda mfupi uliopita leoleo, kama bado hujaupata unaweza kuplay hapa uione yote.
Post a Comment