Picha: Alikiba avuta umati wa zaidi ya watu elfu 10 Machakos, Kenya
Alikiba ana mashabiki lukuki nchini Kenya.
Na ndio maana weekend hii, muimbaji huyo wa Mwana aliukaribisha mwaka mpya 2016 kwa kuvuta nyomi huko Machakos.
“Show imepata mahudhurio makubwa ya wapatao watu zaidi ya 10,000,” msemaji wake ameiambia Bongo5.
“Ilihudhuriwa na viongozi wa serikali ya county ya Machakos akiwepo Gavana na familia yake. Aliperform kuanzia 00:00 mpaka 03:00.”
Jionee picha zaidi.
Post a Comment