Pichaz za Linex haikuwa mchongo wa ndoa, ni ujio wa huu wimbo wake mpya.. -‘Kwa Hela’ (+Audio)
Kulikuwa na pichaz zilizokamata headlines mitandaoni zikionesha Linex kwenye suti na mrembo wake ndani ya gauni zuri kabisa, wako waliohisi kwamba ndio kusema Linex kavuta jiko kimyakimya hivi !
Haikuwa hivyo, Linex kasema ile ni kazi ya photoshoot aliyofanya mpiga picha Mx Carter kwa ajili ya kutuandalia ujio wa wimbo mpya wa Linex, ‘Kwa Hela’… unaweza kuusikiliza wimbo wenyewe hapa mtu wangu.
Post a Comment