Video: Timbwili la Shilole mbele ya Nuh Mziwanda
Shilole na Nuh Mziwanda hawakai tena zizi moja.
Ukiwaweka pamoja, patachimbika. Shilole aligeuka mbogo wakati akihojiwa kwaajili ya kipindi cha D’Weekend Show cha Clouds TV kitakachoonekana Ijumaa hii.
Teaser ya kipindi hicho inaonesha wakati muimbaji huyo akihojiwa, Nuh Mziwanda aliingia studio na kumfanya ageuke mbogo.Shishi anaonekana akiondoka kwa hasira studio na kulamizisha kufungua mlango uliokuwa umefungwa ili atoke. Tazama video hiyo juu
Post a Comment