Alikiba kuachia video aliyoshoot Marekani Alhamisi ya wiki hii, imeongozwa na director aliyetengeneza filamu ya Tuxedo
Video hiyo ambayo ameifanya kwa ajili ya kampeni ya kupinga ujangili
wa tembo ‘Wil Aid’ ilishootiwa Los Angeles Marekani miezi mitatu
iliyopita ambapo pia alimtua mwalimu wa dansi (choreographer) Oththan
Burnside ambaye amewahi kufanya kazi na wasanii wakubwa wa nchini humo
ikiwemo Chris brown, Ciara, Nick Minaj, Ne-yo, Ashanti, Rihanna, Justin
bieber na wengine.

Video hiyo imesamamiwa na mtengeneza filamu maarufu wa Hollywood, Kevin donovan.
Video hiyo imesamamiwa na mtengeneza filamu maarufu wa Hollywood, Kevin donovan.
— Alikiba (@OfficialAliKiba) February 3, 2016
Post a Comment