Image result for tigo banner

Huu ni utengenezaji wa video ya wimbo wa Christian Bella aliowashirikisha Weusi?

Christian Bella is on fire.. collabo baada ya collabo.
12599033_438377369705468_976368872_n
Mwishoni mwa mwaka jana mkali huyo wa masauti aliachia ngoma mbili alizowashirikisha Alikiba na Koffie Olomide lakini haoneshi dalili za kupunguza mwendo.
Sasa ni zamu ya Weusi na huenda tayari wameshoot video yake. Bella aliingia kwenye studio za The Industry ya Nahreel kurekodi wimbo na Joh Makini na G-Nako October mwaka jana.
Joh Makini ameshare picha inayoonesha kuwa wako location kushoot video hiyo.
Haijulikani ni muongozaji gani waliyemtumia

No comments

Powered by Blogger.