Masanja Mkandamizaji kufungua kituo chake cha Radio na TV
Mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji ameweka
wazi mpango wake wa kufungua kituo cha Radio na TV ambavyo atavisimamia
yeye mwenyewe.

Akizungumza
na 255 katika kipindi cha XXL cha Clouds Fm Alhamisi hii, Masanja
alisema tayari ameshapata mafunzo ya uandishi wa habari ili kujifunza
kuhusu kuendesha vituo hivyo.
“Yeah nimepanga kufungua kituo changu cha radio na TV,” alisema Masanja.
“Nilikuwa na mpango wa muda mrefu ndio maana nikaenda shule ili kujifunza mambo mbalimbali kusuhu uendeshaji. Sasa hivi niko poa kabisa, najua vitu vingi hata nikiwaajiri watu hawata nidanganya kwa sababu najua kila kitu,”
Masanja licha ya kuwa ni muigizaji na mfanyabiashara, pia ni mkuliwa mkubwa wa zao la mpunga.

Post a Comment