Ziangalie nyimbo kwenye Album Mpya ya Kanye West
Nyimbo ambazo zipo kwenye albamu mpya ya Kanye West.
Kanye kuachia album yake leo. Album Mpya ya Kanye West inaitwa the life of Pablo. Ina nyimbo za Valentine Day pia. Lakini hapo jana alipokea fursa ya pesa kubwa kutoka kwa shabiki wake mkubwa sana akiwa Newyork na kutaka ainunue kwa gharama ya juu kabisa. Lakini kinacho onekana ni kwamba Kanye ajatilia maanani ombi hilo.
Barua ya wazi kwa Kanye.
Post a Comment