Pichaz 20 za Idris Sultan, MC Pilipili na Chipukeezy walivyovunja mbavu watu kwenye The Funny Fellas
Usiku wa March 4 ilifanyika Stand Up Comedy katika ukumbi wa Uhuru Auditorum makumbusho ya Taifa Posta, show hiyo iliyopewa jina la The Funny Fellas ambayo ilikutanisha wachekeshaji mahiri kutoka nchi za Afrika Mashariki kama Captain Khalid, Dogo Pepe, MC Pilipili, Chipukeezy, Alex Muhangi na Idriss Sultan.
Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz 20 za watu walivyovunjwa mbavu na wachekeshaji
Dogo Pepe
Dogo Pepe
Mbunifu wa mavazi Mustafa Hassanari alikuwepo pia mwenye shati la kitenge
Mchekeshaji kutoka Uganda Alex Muhangi kwenye Stage
Alex Muhangi
Mchekeshaji Captain Khalid mchekeshaji
Chipukeezy on stage kuvunja mbavu za watu waliohudhuriaza The Funny Fellas
Chipukeezy katika mbwembwe zake akaamua kumuita mrembo kwenye stage
Post a Comment