Kama unataka kufanya collabo na Diamond Platnumz haya hapa ni ya kuyajua…
Kama utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia stori za entertaiment basi hizi hapa zisikupite, millardayo.com imekurekodia stori zote za April 27 2016 ambazo zimepata airtime kupitia 255 ya XXL na moja ya Stori ambayo imepata airtime ni hii ya Meneja wa Diamond Platnumz kufunguka kuhusina utaratibu wa collabo na malipo kwa msanii wake……
’Diamond
ukifanya nae collabo kama utapitia kwake ni bure lakini ukipitia kwangu
ni pesa unajua kuna ngoma nyingine msanii anaweza akaona mwenyewe kama
nitafanya hii itaniweka mahali fulani ndio maana kuna ngoma nyingi
Diamond Platinumz kafanya bure‘:-Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam SK
Post a Comment