Image result for tigo banner

Mbwana Sammatta kafanya yake Jana

Kutoka Ubeligiji Mbwana Sammata kafunga goli lake la tatu akiwa na klabu yake mpya GENK ya nchini ubeligiji.
GENK aliibuka na ushindi wa 4-0 Oostende
GENK imepanda na kuwa ya tatu kwenye msimamo wa ligi kuu Ubelgiji ikiwa na point 27 huku ligi hiyo ikiongozwa na Club Brugge ikiwa na point 35.


Goli la Samatta














No comments

Powered by Blogger.