Image result for tigo banner

Woman in Glasses: Shilole aongeza swag ya miwani, imemtoa

Kuna kitu cha kuvutia pale msichana anapovaa miwani – tena zile za macho tofauti na zile za fashion! Humfanya mwanamke anaonekane smart, ana akili na anayejielewa.
12940315_380121725496292_210005054_n
Shilole ameamua kuja na swag hiyo na inaonekana kumtoa na kumfanya aonekane kama corporate girl fulani hivi! Check picha zake zingine hapo chini.
12940713_1061127217281504_1892278256_n
12965647_760498600718516_57594868_n

No comments

Powered by Blogger.