Jux aja na muonekano mpya wa nywele (Picha)
Jux amebadilisha muonekano wake na kuna na style mpya ya nywele.
Muimbaji huyo wa ‘Looking For You’ amesokota nywele zake na kuziweka kwa
mtindo kama wa wasanii wa kundi la zamani la hip hop. Kris Kros.
“Sometimes you have to believe in yourself and do what you want,
uwezi kupendwa na wote na uwezi kumfuraisha kila mtu #jiamini #hapo
#wivu #aftricanboy,” ameandika Jux kwenye moja ya picha alizoweka
Instagram.
Post a Comment