Mayunga ajitoa Universal Music Group, aelezea sababu za kujitoa na label mpya aliyosainiwa
Mayunga amejitoa kwenye label ya ‘Universal Music Group’ aliyopata
shavu la kujiunga baada ya kushinda shindano la Airtel Trace Music Star
mwaka jana.
“Ningependa ku’shear na watu kwamba mimi tena sio member wa Universal, siko tena Universal Music Group” Mayunga alisema alipokuwa akifanya mahojiano na kipindi cha ‘Chill na Sky’ ambapo alisema sababu kubwa ya kujitoa ni kwasababu baada ya kusaini dili hilo hakuona muendelezo mzuri wa muziki wake kwenye label hiyo.
“Lakini kuringana na agreement za mkataba wetu ilikuwa kila baada ya miezi mitatu mayunga atoe ngoma, umeona.. kwahiyo nikawa najua kabisa mwezi wa kumi kwasababu nice couple nilitoa mwaka jana mwezi wa kumi kwahiyo nilivyokuja mwezi wa kumi nikasema mbona sio kitu au sioni hata process zozote za nyimbo mpya na uzuri nilikuwa nashear nao nyimbo zangu mpya” Mayunga alielezea.
“Lakini sasa nilivyokuwa naona kimya mpaka sasa hivi, nikaona hapa watu hawawezi kujua ila ni mimi ndio watakuwa wananilamu, wengine wanaweza wakafikri nililewa sifa kuwa kwenye label kubwa ndio nimejisahau kila kiyu, nikaona hapana ikabidi nitoe mawazo yangu kuwa ningependa kujiengua universal na uzuri mawazo yangu hata uongozi wangu hapa Tanzania walikuwa wameona, sababu hata hili dili walitakiwa walisimamie, la mimi kwenda Marekani na kuwezakurekodi huu wimbo na Akon laikini hawakufanya hivyo” Mayunga aliendelea kuelezea.
“Baada ya hapo ikabidi sasa Trace ilibidi waingilie kati ili kuweza kunisaidia kwasababu nao walikuwa Partner, kuweza kunisaidia kutoka Universal, ndio ikabidi wachukue jukumu la kutimiza ahadi ya kufanya collabo na Akon.” Mayunga alifafanua.
Pia alisema kwasasa amesema yupo chini ya Trace ambao wanasimamia kazi zake kwasasa wakati wanaendelea kumtafutia label nyingine ya kumsimamia,

Post a Comment