Image result for tigo banner

Nuh Mziwanda akumbwa tena na mkasa wa kimapenzi, aachana tena na mpenzi wake mpya

Unamkumbuka yule msichana mrembo ambaye Nuh Mziwanda alimpata muda mfupi tu baada ya kuachana na Shilole? Okay, wawili hao hawapo pamoja tena lakini wana kitu muhimu wanashare.
Mziwanda-new-4
“Yule alikuwa girlfriend wangu lakini kuna kushindwana kitabia, nipo naye lakini tunachokifaya niwe naye siwezi kukisema lakini ni mtu ambaye bado tunawasiliana kwasababu kuna jambo linanifanya lazima niwasiliane naye. Lakini yeye anaendelea na mishe zake na mimi naendelea na mishe zangu,” Nuh ameiambia Bongo5.
Nilipomuuliza kama kitu hicho kinachowafanya waendelee kuwasialiana ni mimba, Nuh alisema, “Sijataka kuongea hilo suala kwasababu macho ya watu si unajua, bora jambo litokee kwanza ndio unasema jamani kuna hiki lakini tumwachie mwenyezi Mungu!”
Kila lakheri Nuh kwenye jambo hilo. Na kama ni mtoto basi ni ndio baraka zenyewe. Tazama picha zaidi za msichana huyo.
Mziwanda-new-12
Mziwanda-new-2
Mziwanda-new-5
Mziwanda-new-8

No comments

Powered by Blogger.