Ommy Dimpoz ahofia kutoa nguo za PKP sababu ni kwamba watu hawachelewi kutoa feki na kupiga hela nyingi kuliko mwenye brand
Ommy Dimpoz amesema anahofia kutoa nguo zake za PKP kwasababu
amegundua kuwa kuna watu wanaotengeneza nguo feki za brands zingine za
Kitanzania na kuziuza kwa bei chee.

Amesema bado anafikiria njia nzuri za kuweza kuhakikisha hakuna wajanja wataoweza kula kupitia brand yake. “Sijajua wenzangu wanazifanya kwa style ipi lakini bado kuna tatizo la watu kutumia brand za watu wengine kufyatua.
Amesema ameshahudia mtu kuulizia kofia za rafiki yake ambaye huziuza kwa shilingi elfu thelathini lakini akawaambia Kariakoo zinauzwa kwa elfu kumi tu.
“Kweli kwenda kufuatilia akakuta kuna watu wanatengeneza nyingi. Kwahiyo najaribu kufikia kwamba nitafanyaje biashara nisitumie nguvu yangu kupromote halafu mwingine aende kupata kiulaini,” ameongeza.
Wasanii ambao tayari wameingiza bidhaa za brand zao ni Jux mwenye African Boy, Weusi, Tip Top Connection na wengine.

Post a Comment