Picha: John Legend afurahia kuwa baba
Maisha huwa ni mazuri pindi unapokipata kitu unachokitaka.
Kwa sasa maisha ya John Legend na mkewe, Chrissy Teigen yanaonekana
kuwa na furaha zaidi tangu walipofanikiwa kupata mtoto wa kike, Luna
Simone mwezi uliopita. Wawili hao wameonekana kwenye mitaa ya New York
City wakizunguka huku John Legend akiwa amembeba Luna.
Tazama picha zaidi.
Post a Comment