Image result for tigo banner

Picha: Mashindano ya Mr & Miss Mbeya University of Science & Technology Yalivyofana

Chuo kikuu cha sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) hapo jana (28 May) kiliweza kumpata Miss na Mr  ambao watashikilia taji hilo kwa muda wa mwaka mmoja toka walipokabidhiwa. Hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Nyerere uliopo chuoni hapo huku ukiudhuriwa na baadhi ya viongozi wa chuo pamoja na wale wa serikali ya wanafunzi (MUSTSO). Sherehe hiyo ilikua chini ya udhamini wa Access Computers Ltd, Trust pamoja na Oneclick Tanzania. Access computer walitoa zawadi ya Lennovo mpya kwa washindi wote wawili Mr na Miss MUST






Mshiriki nambari moja akipita jukwaani akiwa amevalia vazi la asili


Mr na Miss MUST 2015-2016 walikuwepo pia ili kukabidhi taji kwa washindi wapya


Nancy kutoka meza kuu ya majaji akitoa neno kwa waliohudhuria hafla hiyo

 
Meza kuu ya uongozi wa chuo kutoka kulia, Rais wa serikali ya wanafunzi Sirilo Joseph akiambatana na wadhamini kutoka Access Computers Ltd


Naibu waziri wa Starehe na Michezo Alex Toure



Washiriki wa Mr na Miss MUST kwenye picha ya pamoja

 
Muwakilishi kutoka Trust


Washindi wakikabidhiwa taji





 

Vikundi vya uburidishaji vilikuwepo kunogesha hafla



 Hillary Obeid Mshindi Mr MUST 2016-2017


Mwajuma Ismail Mkupete Mshindi Miss MUST 2016-2017


 


No comments

Powered by Blogger.