Image result for tigo banner

Tamthilia ya Prison Break kurudi tena, hii ni trailer yake mpya

Tamthilia ya Prison Break iliyofanya vizuri mwaka 2005 hadi 2009, inarudi tena mwakani. Fox imetangaza ujio wa tamthilia hiyo.

pb.
Prison Break inarudi ikiwa na waigizaji wote kuanzia msimu wa kwanza akiwemo Michael Scofield aliyekuwa anadhaniwa amekufa.

Itazame Trailer yake hapo chini

No comments

Powered by Blogger.