Image result for tigo banner

VAN GAAL AONEKANA SEHEMU TOFAUTI AKIWA NA MASHABIKI WAKE

Lous Van Gaal ameondoka hotelini alipokuwa amekaa kwa ajili ya mchezo wa fainali wa hapo jana.
Alipo fanikiwa kupata ubingwa kwa kuitandika Crystal Palace kwa goli 2-1 uwanja wa Wembly.
Kocha huyo amewambia waandishi wa habari kuwa "IT'S OVER" akiwa na maana ya kuwa hatakuwa kocha wa UTD tena.
Van Gaal ameonekana akipiga picha na mashabiki wake sehemu tofauti na alipo kuwa amefikia.

No comments

Powered by Blogger.