Image result for tigo banner

Hakuna tena bado nipo nipo: Mwana FA afunga ndoa (Picha)

Mwana FA unaona lini? Hatimaye jibu lake limepatikana. Rapper huyo amefunga ndoa Jumapili hii.
image
Hitmaker huyo wa Asanteni kwa Kuja amefunga ndoa na mchumba wake aitwaye Helga.
image
Ndoa hiyo ya kiislamu imehudhuriwa na ndugu na marafiki zake wa karibu wakiwemo AY, Hermy B, Ommy Dimpoz, Sallam, Dully Sykes, Alberto Msando na wengine.
Tazama picha zaidi:
image
image
image
image
Tunampongeza FA kwa hatua hiyo.

No comments

Powered by Blogger.