Picha: Tazama Mfananisho wa vipande vya Movie alivyovitumia Beyonce na kumpelekea kushtakiwa
Beyonce amebuluzwa Kortin kwa madai ya kukopi vipande vya Trailer ya album yake ya ‘Lemonade’ iliyooneshwa HBO.
Kwa mujibu wa Hollywood Reporter, muandaji wa filamu Matthew Fulks amemshitaki Beyonce kwa madai ya kukopi filamu yake fupi “Palinoia” na kutumia kwenye Trailer ya ‘Lemonade’, Kwenye madai hayo Fulks amedai kuwa mwanadada huyo amekopi zaidi ya vipande tisa kutoka kwenye filamu yake hiyo.

Post a Comment