Kuwa mpinzani ktk nchi za afrika kunahitaji moyo sana wa uvumilivu na kujitoa mhanga wakati mwingine!!

Azimio la bunge la kuzuia wabunge wa UKAWA kulipwa posho halitabadili msimamo wetu mana tulifanya hivyo ktk bunge Maalumu la Katiba kwa kuacha malipo ya milioni 30 hivyo basi hili si geni kwetu.

Tutasimama imara mpk dakika ya mwisho kupinga udhalimu unaofanywa na naibu spika ktk kuendesha bunge kidikteta dhidi ya upinzani.

Silinde Ernest David(Mb)

Jimbo la Momba

Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni – wizara ya Fedha na Mipango.

08.06.2016

Dodoma, Tanzania.