Klabu zinazoshiriki Ligi ya Vodacom Tanzania Bara
kuanzia msimu ujao zimetakiwa kuwa na ofisi, Uwanja wa mazoezi, na
kuendeleza programu za vijana ikiwemo kuwapa haki ya kusoma
Msemaji w

a TFF Alfred Lucas amesema Kamati
ya Utendaji ya Shirikisho la soka Tanzania TFF ndiyo wametoa sheria hizo
wakati ilipokuwa inapitia taarifa mbalimbali za ligi na kukubaliana
namna ya kuboresha mashindano mbalimbali ikiwamo Ligi Kuu, Kombe la FA,
Ligi Daraja la Kwanza, Ligi Daraja la Pili na Ligi ya Mabingwa wa Mkoa.

Post a Comment