Christian Bella atoa sababu ya kuwa kimya kwa Malaika band
Christian Bella ambaye pia ni mmiliki wa Malaika Band, amezungumzia ukimya wa bendi hiyo.
Akiongea katika kipindi cha Dj Show cha Radio One, Bella amesema ukimya huo hauthiri kitu kwakuwa yeye yupo kama kawaida.
“Malaika ipo kwa sababu mimi bado nina perform,lakini kuna baadhi ya wasanii wangu passport ziliisha walienda kurenew passport Kongo,lakini mimi ndiye kichwa naendeleza kupiga show,” alisema.

Post a Comment