Image result for tigo banner

Collabo yangu na Davido imekamilika na ninayo tayari – Joh Makini

Collabo ya Joh Makini na Davido, ilisharekodiwa, kupitia hatua zote za kumalisha ngoma na sasa ipo tu kabatini ikisubiria muda muafaka, itoke.
13437278_157258944689028_963967067_n
Hiyo ni kwa mujibu wa Joh Makini mwenyewe alipokuwa akiongea na mtangazaji wa Jembe FM, JJ. Amedai kuwa anachosubiria sasa ni kuangalia namna ya kufanya video yake na kuitoa.
Pia ameshafanya collabo na muimbaji wa Nigeria Chidnima na video ilishafanyika, alimshirikisha rapper wa Afrika Kusini, Khulichana pamoja na wimbo mwingine aliofanya na rapper wa Ghana, EL.

No comments

Powered by Blogger.